Maria wa Yesu Santocanale

Maria wa Yesu Santocanale (jina la awali: Carolina Santocanale; Palermo, Sicilia, Italia, 2 Oktoba 1852Cinisi, Italia, 27 Januari 1923) alikuwa mwanzilishi wa shirika la Masista Wakapuchini wa Imakulata wa Lourdes ili wamsaidie kuhudumia maskini.

Picha halisi ya Mt. Maria wa Yesu.

Papa Fransisko alimtangaza mwenye heri tarehe 12 Juni 2016, halafu mtakatifu tarehe 15 Mei 2022.

Sikukuu yake ni tarehe 27 Januari.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.