Marijampolė (kati ya miaka 1955 na 1989: Kapsukas) ni mji nchini Lituanya. Ni mji mkubwa wa saba katika nchi ya Lituanya. Kuna wakazi 47,244 (mwaka 2007).

Katikati ya mji

Jiografia hariri

Eneo lake ni km² 205.07. Mji uko pande zote mbili za Mto Šešupė.

Historia hariri

Mji ulianzishwa 1792.

==Picha hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Marijampolė kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.