Mario, Martha, Audifas na Abako

Mario, Martha, Audifas na Abako[1] (walifariki karibu na Roma, Italia[2], mwanzoni mwa karne ya 4) walikuwa familia ya Wakristo, baba, mama na watoto, waliofia dini yao hiyo kwa pamoja wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[3].

Chombo cha kutunzia masalia yao.

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 19 Januari[4] [5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Form of the names in the Roman Martyrology. In some sources, Marius is called "Maris" and Audifax is placed last.
  2. "Father Alban Butler: Saints Marius, Martha, Audifax, and Abachum". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-05-13. Iliwekwa mnamo 2020-04-14. 
  3. Santi Mario, Marta, Abaco e Audiface
  4. Calendarium Romanum, Typis Polyglottis Vaticanis, 1969, p. 113
  5. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder, 1924.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.