Marjorie Kinnan Rawlings (8 Agosti 189614 Desemba 1953) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1939, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Yearling ("Mwenye mwaka mmoja tu").

Marjorie Rawlings

Amezaliwa Marjorie Kinnan Rawlings
8 Agosti 1896
Washington, D.C., Marekani
Amekufa 14 Disemba 1953
Florida, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi
Kipindi 1928 - 1953
Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marjorie Rawlings kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.