Marksons Plaza ni jumba linalopatikana katika enbeo la Westlands mjini Nairobi katika mtaa wa Parlands. Kuna ofisi kadhaa za kampuni na za binafsi kwa mfano: Spin knit Kenya Ltd na Corn products Kenya Limited.