Maroni mfiadini (alifariki katika bonde la mto Chienti, Italia ya Kati, 100) alikuwa padri aliyekatwa kichwa kutokana na kueneza imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya dini hiyo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini, wa kwanza katika mkoa wa Marche.

Sikukuu yake ni tarehe 15 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.