Mathias Meinrad Chikawe

Mathias Meinrad Malome Chikawe (amezaliwa 30 Mei 1951) ni Mbunge wa jimbo la Nachingwea katika Bunge la Tanzania, awamu ya 2005 hadi 2010[1]. Anatokea katika chama cha CCM. Katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete, Chikawe alikuwa Waziri wa Sheria. Mwaka wa 1982 alipata shahada ya tatu katika somo la sheria ya kimataifa huko Uholanzi.

Chikawe

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. Mengi kuhusu Mathias Meinrad Malome Chikawe (10 Julai 2006). Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.

Viungo vya nje hariri