Max Theiler

Daktari wa virusi na daktari wa Afrika Kusini-Amerika

'

Max Theiler
Max Theiler
Amezaliwa30 Januari 1899
Amefariki11 Agosti 1972
Kazi yakemwanabiolojia kutoka nchi ya Afrika Kusini


Max Theiler (30 Januari 189911 Agosti 1972) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Afrika Kusini. Baadaye alihamia na kupata uraia wa Marekani. Hasa alichunguza virusi visababishavyo maradhi mbalimbali. Pia aligundua dawa ya chanjo dhidi ya homa ya manjano. Mwaka wa 1951 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Theiler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.