'

May Ayim
May Ayim
Amezaliwa9 Agosti 1996
Kazi yakemwandishi wa kike kutoka nchi ya Ujerumani


May Ayim (3 Mei 19609 Agosti 1996) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Ujerumani. Baba yake ni Mghana na mama yake Mjerumani. Alilelewa mbali na wazazi wake na familia waliompanga chini ya jina la May Opitz. Alijihusisha hasa na haki za Waafrika nchini Ujerumani. Alipotambuliwa kuwa na ugonjwa wa kukacha kwa seli (kwa Kiingereza multiple sclerosis) alikata tamaa na kujiua.

Tangu mwaka wa 2004, shirika la UNESCO hutoa Tuzo ya May Ayim kwa ajili ya fasihi ya Kijerumani iliyoandikwa na Waafrika.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu May Ayim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.