Mbio ni mwendo wa kasi kubwa unaoweza kuwa na sababu mbalimbali, kwa mfano hatari.

Watu wakikimbia mlipuko wa volikano huko Ercolano, Museo Archeologico di Napoli, Italia.

Tangu zamani kuna mashindano mengi ya mbio, kama vile ya miguu, ya baiskeli, ya pikipiki, ya magari n.k.