Megan Connolly

Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha Ireland

Megan Connolly (alizaliwa 7 Machi 1997)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Eire ambae anacheza kama kiungo katika klabu ya Bristol City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake , ambayo yeye pia ni nahodha, na timu ya taifa ya wanawake ya Jamhuri ya Ireland.[2]

Megan Connolly

Marejeo hariri

  1. Cork 5-06 Kerry 0-10 Máire de Faoite (2012-07-17). "Connolly goals drive on Cork". Irish Examiner (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  2. "Republic of Ireland - M. Connolly - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Megan Connolly kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.