Melaky ni moja ya mikoa 22 ya kujitawala ya Madagaska. Idadi ya wakazi wake ni takriban 175,500. Mji mkuu ni Maintirano.

Melaky
Mahali paMelaky
Mahali paMelaky
Mahali pa Mkoa wa Melaky katika Madagaska
Majiranukta: 18°4′S 44°1′E / 18.067°S 44.017°E / -18.067; 44.017
Nchi Madagaska
Wilaya 5
Mji mkuu Maintirano
Eneo
 - Jumla 38,852 km²
Idadi ya wakazi (2004)
 - Wakazi kwa ujumla 175,500

Picha za Melaky hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Madagaska bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Melaky kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:



 
Mikoa ya Madagaska
 
Diana | Sava | Itasy | Analamanga | Vakinankaratra | Bongolava | Sofia | Boeny | Betsiboka | Melaky | Alaotra-Mangoro | Atsinanana | Analanjirofo | Amoron'i Mania | Haute Matsiatra | Vatovavy-Fitovinany | Atsimo-Atsinanana | Ihorombe | Menabe | Atsimo-Andrefana | Androy | Anosy