Michael Smith (26 Aprili 19324 Oktoba 2000) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Baadaye alihamia Kanada. Hasa alichunguza taaluma ya jenetiki na sifa za protini. Mwaka wa 1993, pamoja na Kary Mullis alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Faili:Michaelsmith.jpg
Michael Smith
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michael Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.