Mike Cernovich

mwandisi kutoka Marekani

Mike Cernovich (amezaliwa 17 Novemba 1977) ni mwanamitandao ya kijamii mlengwa wa kulia, mchambuzi wa siasa na nadharia ya njama kutoka Marekani.[1][2][3]

Mike Cernovich (2018)

Cernovich alikua mwanablogu mnamo 2000, akilenga mada za kupinga wanawake.[4]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mike Cernovich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Marejeo hariri

  1. "How the alt-right are resurfacing old tweets to get Trump's critics fired", The Guardian, July 25, 2018. 
  2. "YouTube Cracks Down on Far-Right Videos as Conspiracy Theories Spread", The New York Times, March 3, 2018. 
  3. https://www.fox61.com/article/news/local/pattis-representing-blogger-in-roger-stone-case/520-f0a4006b-e3bf-4bf8-b3e6-3a6828689d8d