Mikhail Ivanovich Glinka (Kirusi: Михаи́л Ива́нович Гли́нка) (1 Juni 180415 Februari 1857) alikuwa mtunzi wa Opera wa kwanza kutambulika zaidi kwa nchi ya Urusi. Huyu mara nyingi hutazamika kama baba wa muziki wa klasiki kwa nchi ya Urusi.

Mikhail Glinka.

Viungo vya nje hariri



 
WikiMedia Commons



  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mikhail Glinka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber