Miki Ito (alizaliwa 10 Septemba 1995) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya INAC Kobe Leonessa inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Miki Ito kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.