Millie Turner

Mchezaji wa mpira wa miguu wa chama cha Uiingereza

Millie Turner (alizaliwa 7 Julai 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza,ambae anacheza kama beki wa klabu ya Manchester United F.C. inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[1] na timu ya taifa ya Uingereza.[2] Hapo awali alichezea Everton na Bristol City, na aliwakilisha Uingereza katika mashindano ya vijana walio na umri wa chini ya miaka 19 na 23 kabla ya kucheza mechi yake ya kwanza mwaka 2024.

Turner akiichezea Manchester United mnamo 2023

Marejeo hariri

  1. "Le Tissier scores twice on debut in Man Utd win", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-30 
  2. "Lionesses comfortably beat Italy in friendly match", BBC Sport (kwa en-GB), iliwekwa mnamo 2024-04-30 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Millie Turner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.