Milwaukee Bucks

Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani

Milwaukee Bucks ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Milwaukee, Wisconsin. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Giannas Antetokounmpo.

Milwaukee Bucks

Viungo vya Nje hariri


  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Milwaukee Bucks kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.