Misratah (pia: Misrata au Misurata) ni mji wa Libya, wa tatu kwa wingi wa wakazi (400,000 mwaka 2019). Kati yao thuluthi mbili ni Waturuki kwa asili.

Misrata Downtown Square.

Unapatikana upande wa magharibi wa nchi. 32°22′39.12″N 15°05′31.26″E / 32.3775333°N 15.0920167°E / 32.3775333; 15.0920167

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Misratah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.