Aksaray ni mkoa wa kati nchini Uturuki. Mkoa huu unapakana na mikoa mingine kama vile Konya kwa upande wa magharibi na kusini yake, Niğde kwa upande wa kusini-mashariki, Nevşehir kwa upande mashariki, na Kırşehir kwa upande wa kaskazini. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 7,626. Mji mkuu wa mkoa huu ni Aksaray.

Mkoa wa Aksaray
Maeneo ya Mkoa wa Aksaray nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 7,626 (km²)
Idadi ya Wakazi 425,612 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 68
Kodi ya eneo: 0382
Tovuti ya Gavana http://www.aksaray.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/aksaray

Wilaya za mkoani hapa hariri

Mkoa wa Aksaray umegawanyika katika wilaya 7 (wilaya kuu imekoozeshwa):

Viungo vya Nje hariri