Mkoa wa Bắc Kạn

Bắc Kạn ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Bắc Kạn. Eneo lake ni 4,857.2 km². Mwaka 2009 wakazi 293,826 walihesabiwa.

Mahali pa Bắc Kạn katika Vietnam

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.