Kié-Ntem
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Kié-Ntem)
Kié-Ntem ni mkoa wa Guinea ya Ikweta . Mji mkuu wake ni Ebebiyín .
Kié-Ntem | |
Nchi | Equatorial Guinea |
---|---|
Makao makuu | Ebebiyín |
Eneo | |
- Jumla | 3,943 km² |
Idadi ya wakazi (2015) | |
- Wakazi kwa ujumla | 183,331[1] |
Mkoa huo ni sehemu ya kanda la Rio Muni lililopo kwenye sehemu ya bara ya nchi. Kié-Ntem inapakana na tarafa zifuatazo za nchi:
- Kanda ya Kusini, Kamerun - kaskazini
- Mkoa wa Woleu-Ntem, Gabon - mashariki
- Wele-Nzas, Guinea ya Ikweta - kusini
- Centro Sur, Guinea ya Ikweta - magharibi
Mkoa ulichukua jina lake kutoka Mto Kié na Mto Ntem (Campo).
Marejeo hariri
- ↑ "Censo de población 2015–República de Guinea Ecuatorial" (kwa Kihispania). INEGE. uk. 7. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 October 2017. Iliwekwa mnamo 8 October 2017. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); Check date values in:|archivedate=, |accessdate=
(help)