Mkoa wa Kilis umezoeleka kuwa moja ya sehemu za kusini mwa mkoa wa Gaziantep na uliundwa mnamo mwaka wa 1994. Mji wa Kilis ni nyumbani kwa kiasi cha 67% ya wakazi wa mkoani, miji mingine na vijiji ni vidogo sana.

Mkoa wa Kilis
Maeneo ya Mkoa wa Kilis nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia
Eneo: 1,642 (km²)
Idadi ya Wakazi 114,724 (200) TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 79
Kodi ya eneo: 0348
Tovuti ya Gavana http://www.kilis.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/kilis

Wilaya za mkoani hapa hariri

Mkoa wa Kilis umegawanyika katika wilaya 4 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungoi vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kilis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.