Mkoa wa Lôh-Djiboua


auto

Mkoa wa Lôh-Djiboua (kwa Kifaransa: Région du Lôh-Djiboua) ni moja kati ya mikoa 31 ya nchini Cote d'Ivoire.

Mkoa wa Lôh-Djiboua
Mahali paMkoa wa Lôh-Djiboua
Mahali paMkoa wa Lôh-Djiboua
Mahali pa Mkoa wa Lôh-Djiboua (kijani)
katika Cote d'Ivoire za Jimbo la Gôh-Djiboua
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Cote d'Ivoire
Jimbo Gôh-Djiboua
Serikali[1]
 - Prefect Kpan Droh Joseph
 - Rais wa Baraza Komenan Tchekoura Rolland Zakpa
Eneo[2]
 - Jumla 10,650 km²
Idadi ya wakazi (2014)
 - Wakazi kwa ujumla 729,169
GMT (UTC+0)

Uko katika Magharibi ya kati ya nchi. Makao makuu ya eneo hilo ni Divo. Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 729,169.

Lôh-Djiboua kwa sasa imegawanywa katika wilaya tatu:

Marejeo hariri

  1. "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
  2. "Lôh-Djiboua" Archived 5 Novemba 2016 at the Wayback Machine., gouv.ci, accessed 23 February 2016.