Mkoa wa Mardin (Kisyria: ܡܶܪܕܺܝܢ "Merdin" kwa kuhusina na lugha ya Kisemiti Kiarabu: ماردين , Mardīn au "Merdin" ) ni jina la mkoa uliopo nchini Uturuki, wenye wakazi takriban 745 778.[1] Awali idadi ya wakazi ilikuwa 835,173 kunako mwaka wa 2000[2].

Mkoa wa Mardin
Maeneo ya Mkoa wa Mardin nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Kusinimashariki ya Anatolia
Eneo: 8,891 (km²)
Idadi ya Wakazi 745 778 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 47
Kodi ya eneo: 0482
Tovuti ya Gavana http://www.mardin.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/mardin

Wilaya za mkoani hapa hariri

Mkoa wa Mardin umegawanyika katika wilaya 10 (mji mkuu 'umekoozeshwa):

Marejeo hariri

  1. Turkish Statistical Institute (2007). "2007 Census, population by provinces and districts". Turkish Statistical Institute. Iliwekwa mnamo 2007-12-26. 
  2. "Population of Mardin province". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-01-04. Iliwekwa mnamo 2009-09-05. 

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mardin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.