Mkoa wa Mashariki (Zambia)

Mkoa wa Masharikii (Eastern Province) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Zambia lenye wakazi 1,306,173 kwenye eneo la 69,106 km². Mji mkuu ni Chipata.

Mahali pa mkoa wa Masharikii katika Zambia

Jiografia hariri

Miji mikubwa ni pamoja na Chipata, Petauke na Lundazi.

Lunsemfwa na Luangwa ni mito muhimu zaidi.

Picha za Masharikii hariri


 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu maeneo ya Zambia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Mashariki (Zambia) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.



 
Mikoa ya Zambia
 
Copperbelt | Kaskazini | Kaskazini-Magharibi | Kati | Kusini | Luapala | Lusaka | Magharibi | Mashariki
+/-