Mkoa wa Masvingo ni mkoa wa Zimbabwe upande wa kusini mashariki wa nchi.

Una eneo la kilometa mraba 56,566 na wakazi 1,639,000 (2022)[1].

Makao makuu yako Masvingo.


Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Masvingo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.