Mkoa wa Montagnes au Mkoa wa Dix-Huit Montagnes (kwa Kifaransa: Région des Montagnes au Région des Dix-Huit Montagnes) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika magharibi ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 936.502. [1]

Mkoa wa Montagnes
Mahali paMkoa wa Montagnes
Mahali paMkoa wa Montagnes
Mahali pa Mkoa wa Montagnes katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 7°20′N 7°40′W / 7.333°N 7.667°W / 7.333; -7.667
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 6
Mji mkuu Man
Eneo
 - Jumla 16.600 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 936.502
GMT (UTC+0)

Kuna tarafa sita ambazo ni

Makao makuu yako Man.

Marejeo hariri

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na