Mkoa wa Nam Định
Nam Định ni mkoa wa Vietnam. Mji mkuu ni Nam Định. Eneo lake ni 1,669 km². Mwaka 2009 wakazi 1,828,111 walihesabiwa.
Tazama pia hariri
Viungo vya nje hariri
- Tovuti rasmi Archived 18 Desemba 2014 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|