Mkoa wa Otjozondjupa

Mkoa wa Otjozondjupa ni moja ya mikoa 13 ya kujitawala ya Namibia lenye wakazi 135,723 kwenye eneo la 105,328 km². Mji mkuu ni Otjiwarongo.

Mahali pa Otjozondjupa katika Namibia

Jiografia hariri

Miji mikubwa ni pamoja na Otjiwarongo, Grootfontein na Okahandja.

Picha za Otjozondjupa hariri


 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Namibia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Otjozondjupa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
Mikoa ya Namibia
 
Caprivi | Erongo | Hardap | Karas | Kavango | Khomas | Kunene | Ohangwena | Omaheke | Omusati | Oshana | Oshikoto | Otjozondjupa