Mkoa wa Sankuru

jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo


Mkoa wa Sankuru ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,500,000. Mji wake mkuu ni Lodja.

Mkoa wa Sankuru
Sankuru
Mahali paMkoa wa Sankuru Sankuru
Mahali paMkoa wa Sankuru
Sankuru
Mahali pa Mkoa wa Sankuru katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 4°58′S 23°26′E / 4.967°S 23.433°E / -4.967; 23.433
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 6
Mji mkuu Lodja
Serikali
 - Gouverneur
Eneo
 - Jumla 104,331 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 1,500,000

Picha za Sankuru hariri


 
WikiMedia Commons



 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
 
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-
  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sankuru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.