Mkoa wa Savanes (kwa Kifaransa: Région des Savanes) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011.

Mkoa wa Savanes
Mahali paMkoa wa Savanes
Mahali paMkoa wa Savanes
Mahali pa Mkoa wa Savanes katika Cote d'Ivoire
Majiranukta: 9°30′N 5°30′W / 9.500°N 5.500°W / 9.500; -5.500
Nchi Bendera ya Côte d'Ivoire Côte d'Ivoire
Wilaya 7
Mji mkuu Korhogo
Eneo
 - Jumla 40.430 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 929.673
GMT (UTC+0)

Iko katika Kaskazini ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 929.673. [1]

Kuna tarafa saba ambazo ni

Makao makuu yako Korhogo.

Marejeo hariri

  1. Namba za sensa ya mwaka 1998 kufuatana na