Sevilla ni moja ya mikoa 8 ya Jimbo la Andalusia katika Hispania. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,900,224. Mji wake mkuu ni Sevilla.

Mkoa wa Sevilla








Mkoa wa Sevilla

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Hispania Hispania
Eneo Andalusia
Mji mkuu Sevilla
Eneo
 - Jumla 14,042 km²
Tovuti:  http://www.dipusevilla.es/

Tazama pia hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sevilla kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.