Sivas ni jina la mkoa uliopo mjini mashariki mwa sehemu ya kanda ya Anatolia ya Kati huko nchini Uturuki. Huu ni mji wa pili kwa ukubwa katika orodha ya miji ya Uturuki. Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na Yozgat kwa upande wa magharibi, Kayseri kwa upande wa kusini-magharibi, Kahramanmaraş kwa upande wa kusini, Malatya kwa upande wa kusini-mashariki, Erzincan kwa upande wa mashariki, Giresun kwa upande wa kaskazini-mashariki, na Ordu kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wake ni Sivas.

Mkoa wa Sivas
Maeneo ya Mkoa wa Sivas nchini Uturuki
Maelezo
Kanda: Kanda ya Anatolia ya Kati
Eneo: 28,488 (km²)
Idadi ya Wakazi 810,989 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 58
Kodi ya eneo: 0368
Tovuti ya Gavana http://www.sivas.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/sivas

Wilaya za mkoani hapa hariri

Mkoa wa Sivas umegawanyika katika wilaya 17 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Sivas kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.