Mkoa wa Zanzan
Mkoa wa Zanzan (kwa Kifaransa: Région du Zanzan) ni moja kati ya mikoa 19 ya huko nchini Cote d'Ivoire, kabla ya 2011. Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi. Mwaka 1998 idadi ya wakazi ilikuwa watu 700.999. [1]
Mkoa wa Zanzan |
|
Mahali pa Mkoa wa Zanzan katika Cote d'Ivoire | |
Majiranukta: 8°30′N 3°15′W / 8.500°N 3.250°W | |
Nchi | Côte d'Ivoire |
---|---|
Wilaya | 7 |
Mji mkuu | Bondoukou |
Eneo | |
- Jumla | 38.131 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 700.999 |
GMT | (UTC+0) |
Kuna tarafa saba ambazo ni
Makao makuu yako Bondoukou.
Marejeo hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Zanzan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |