Mlima Patti ni mlima wenye urefu wa mita 458 na pia ni kivutio cha watalii unaopatikana Lokoja, Nigeria.

Mlima Patti

Jina Nigeria lilibuniwa na Flora Shaw mnamo 1914 wakati akiwa akiangalia Lokoja kutoka juu ya Mlima Patti.

Makala hii kuhusu maeneo ya Nigeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Patti kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.