Mlima Saint Elias ni mlima mrefu wa pili nchini Kanada, ukiwa na kimo cha mita 5,489 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Saint Elias

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mlima Saint Elias kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.