Mnara wa taa wa Chumbe

Mnara wa Taa wa Tanzania

Mnara wa taa wa Chumbe ni mnara wa taa unaopatikana kwenye kisiwa cha Chumbe nchini Tanzania visiwani Zanzibar.

Mnara wa Taa Chumbe kisiwani Zanzibar
Mnara wa taa wa Chumbe

Marejeo hariri