Moderata samlingspartiet (au kwa kifupi "Moderaterna") ni chama cha siasa nchini Uswidi.

"Nya Moderaterna"

Historia hariri

Chama cha Moderaterna kilianzishwa mwaka wa 1904 chini ya jina "Allmänna valmansförbundet".

Waziri wakuu kutoka Moderaterna hariri

 
Fredrik Reinfeldt 2013.

Asilimia za Moderaterna katika kura ya kitaifa ya Uswidi hariri


Itikadi hariri

Moderaterna husogeza siasa ya uchumi wa soko na ubepari.

Viungo vya Nje hariri