Momoko Tanikawa

(Elekezwa kutoka Momomoko Tanikawa)

Momoko Tanikawa (alizaliwa Mei 7 2005) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani anayecheza kama kiungo wa klabu ya FC Rosengård Damallsvenskan kwa mkopo kutoka Bayern Munich pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Japani.[1][2]

Marejeo hariri

  1. "FC Bayern Women sign Momoko Tanikawa". FC Bayern München AG. 
  2. "FP TANIKAWA Momoko". Japan Football Association. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Momoko Tanikawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.