Montpellier ndio mji mkuu wa mkoa wa Languedoc-Roussillon, kusini mwa Ufaransa.

Mji wa Montpellier


Montpellier
Montpellier is located in Ufaransa
Montpellier
Montpellier

Mahali pa mji wa Montpellier katika Ufaransa

Majiranukta: 43°36′43″N 3°52′38″E / 43.61194°N 3.87722°E / 43.61194; 3.87722
Nchi Ufaransa
Mkoa Languedoc-Roussillon
Wilaya Hérault
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 251,634
Tovuti:  www.montpellier.fr

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 530,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo mita 27 juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Montpellier kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.