Mparachichi
(Persea americana)
Mparachichi
Mparachichi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Magnoliids (Mimea ambayo maua yao yana mizingo ya tepali tatu na chavua yenye kitundu kimoja)
Oda: Laurales (Mimea kama mparachichi)
Familia: Lauraceae (Mimea iliyo na mnasaba na mparachichi)
Jenasi: Persea
Spishi: P. americana Mill.

Mparachichi au mwembe-mafuta (Kiing. avocado, Kilatini Persea americana) ni mti wenye majani na matunda makubwa ambao hupandwa mahali pote pa tropiki na nusutropiki. Huitwa mpea pia lakini afadhali jina hili litumiwe kwa miti ya jenasi Pyrus. Matunda yake (maparachichi au maembe mafuta) yana mafuta mengi.

Picha hariri