Mpoto Mpoto ni chakula cha Ghana kinachotengenezwa kwa cocoyam au magimbi.  Pia kinajulikana kama Yam Pottage na Asaro (lugha ya Kiyoruba) na Wanaigeria.[1] [2] [3][4]Kimetengenezwa kutokana na viungo kadhaa kama samaki na kitunguu.[5][6] [7]


mpoto mpoto


Marejeo hariri