Mto Awach unapatikana nchini Kenya na unaishia katika ziwa Viktoria, ukichangia hivyo mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati.

Kuna mto Seme Awach katika kaunti ya Kisumu, na mto Awach Tende, mto Awach Kibuon na mto Awach Kabondo katika kaunti ya Homa Bay.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri