Mto Itumba ni jina la miwili kati ya mito ya Tanzania Kusini Magharibi (mkoa wa Songwe na mkoa wa Mbeya) ambayo maji ya mmojawapo yanaishia katika bahari Hindi kupitia mto Zambezi, ya mwingine katika beseni la ndani.

Jina linatokana na tumbaku kwa Kilambya kwa sababu mtawala mkuu wao alikuwa analima tumbaku pembezoni mwa mto huo, nayo ilikuwa inastawi sana.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri