Mto Kagoti (Ruyigi)

Mto Kagoti (Ruyigi) ni jina la makorongo mawili yanayopatikana katika mkoa wa Ruyigi (mashariki mwa Burundi).

Maji ya mojawapo huelekea Ziwa Nyanza, Mto Naili na hatimaye Bahari ya Kati, ya lingine huelekea ziwa Tanganyika, mto Kongo na bahari ya Atlantiki.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mto Kagoti (Ruyigi) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.