Mto Karanga (Kilimanjaro)

Mto Karanga (Kilimanjaro) ni kati ya mito ya mkoa wa Kilimanjaro (Tanzania Kaskazini Mashariki).

Una vyanzo viwili kwenye mlima Kilimanjaro, unapita karibu na Kibosho na kuishia katika bwawa la Nyumba ya Mungu.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri