Mto Katuma uko katika Mkoa wa Katavi, Tanzania, na ndio tegemeo la Hifadhi ya Taifa ya Katavi.

Picha ya sehemu yake.