Mto Lugenda, Msumbiji
Mto Lugenda (pia Lujenda au Msambiti[1]) ni mto unaotiririka kaskazini mwa Msumbiji.
Chanzo | Ziwa Amaramba |
Mdomo | Mto Ruvuma |
Urefu | km |
Kimo cha chanzo | m |
Mkondo | m3 |
Eneo la beseni | km2 |
Unaanza kwenye Ziwa Amaramba/Ziwa Chiuta na kuishia katika Mto Ruvuma ikiwa ni tawimto kubwa lake zaidi[2]. Unaungana na Mto Luambala pale 13°26′12″S 36°18′20″E / 13.43667°S 36.30556°E.
Upande wa kaskazini wa Ziwa Chiuta wakazi huuita Msambiti.[1] Lugenda hugawiwa sasa ka mikono tofauti yenye visiwa mbalimbali kati yao, vingine vikiwa na makazi ya watu kama vile kisiwa cha Achemponda.[3]
Kuna tembo wengi katika bonde la Lugenda. Wakazi ni hasa Wayao na Wamakua, pamoja na Wangoni, Wamaravi na Wamatambwe.[4]
Jina hariri
Tazama pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ 1.0 1.1 1.2 Manchester Geographical Society (1885). The Journal of the Manchester Geographical Society (23-24). Cambridge Scholars Publishing. ku. 302–304.
- ↑ Robert Mepham, R. H. Hughes, J. S. Hughes (1992). A directory of African wetlands. Belhaven Press Book, International Union for the Conservation of Nature and Natural Resources (IUCN). uk. 686. ISBN 2-88032-949-3.
- ↑ Manchester Geographical Society (1885). The Journal of the Manchester Geographical Society (23-24). Cambridge Scholars Publishing. uk. 307.
- ↑ "Emerging from the shadows, Nissa National Reserve". Africa Geographic Article. June 2007. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-14. Iliwekwa mnamo 2010-10-11. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help); Check date values in:|date=
(help)
Makala hii kuhusu maeneo ya Msumbiji bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mto Lugenda, Msumbiji kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |