Mto Mbezi ni kati ya mito ya mkoa wa Pwani (Tanzania mashariki).

Mto Mbezi unapita katika wilaya ya Ubungo ndani ya jiji la Dar-es-Salaam.

Hatimaye maji yake yanaingia Bahari Hindi.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri